Tuesday, 2 May 2017

#The_Ultimate_Sanctifier

From the Diary of a scribbler,

#Jehovah_Makaddesh
#The_Ultimate_Cleanser
#Tough_on_stubborn_Stains
#Who_declares_You_holy?

Think about the adverts you have seen about Detergents that are tough on stains. Hao wamama mtaani wanatueleza kuwa KUNA SABUNI ZA KUONDOA NA KUTAKATISHA MADOA SUGU KWENYE NGUO. Je, wewe unatumia sabuni ipi? In a few, I'd like to introduce you to Jehovah M'kaddesh (The God who SANCTIFIES). Meanwhile, haiepukiki kuwa baada ya muda nguo hupata udongo na madoa mengine. Nguo nyeupe ni chambo cha madoa, na madoa hayo huonekana zaidi ya nguo yenyewe. Habari njema ni kuwa nguo yako hata iwe imendamwa na madoa kwa kiasi gani, bado inaweza kuokolewa. Vinega, juisi ya ndimu, blichi, Magadi Soda, Persil, Omo, Power Boy, Ushindi, Aerial ni baadhi ya sabuni zinazotajwa kuwa na nguvu za kuondoa madoa sugu kwenye nguo. (They are tough on all stains.) Ninapotazama runinga yangu, ninawaona akina mama wakifua nguo zenye madoa sugu ya udongo, chakula na kadhalika, kisha wanaulizana ni sabuni ipi ina uwezo wa kung'arisha na kuondoa madoa sugu? Nasikia wakisema, "Kufua ni?" However, I have seen a limit to the "kutakatisha" power of these detergents.
And onto other matters, "Have you been to Jesus for the cleansing power? Are you washed in the blood of the Lamb? Are your garments spotless; are they white as snow?" The lyrics of the 3rd and 4th stanza say, "When the Bridegroom cometh will your robes be white!
Are you washed in the blood of the Lamb?....
Lay aside the garments that are stained with sin,
And be washed in the blood of the Lamb;
There’s a fountain flowing for the soul unclean,
O be washed in the blood of the Lamb."
This brings me to Leviticus 20:7-8; Exodus 31:13. Here we meet Jehovah M'kaddesh who has the the ultimate detergent, the power to SANCTIFY i.e to declare holy, consecrate. The name M'kaddesh derives from the Hebrew word Kadosh and is translated in English to SANCTIFY, Holy, Consecrate primarily by the Holy One (M'kaddesh). In Hebrews 13:12, Jesus died outside the city gate of Jerusalem in order that all people might be SANCTIFIED. I have been made holy by the Blood of the Lamb. I don't know what you have been through, how dirty and sinful you are but there's a solution. Jehovah M'kaddesh wants to SANCTIFY you; to set you apart for holy use. Surrender to Him and let Him cleanse you.
Yours faithful scribbler,
NzakuNashipae

No comments:

Post a Comment

KACHELBELA: Portrait #3 & #4. Expressions of Worship and The P...

KACHELBELA: Portrait #3 & #4. Expressions of Worship and The P... : Dear Diary, As earlier mentioned ( https://wordpress.com/view/nzak...